P. O. BOX 2813, DAR ES SALAAM, TANZANIA
☎ 0711 695 863 / 0718 350 924 ✉ info@ghcfornations.org f ▶ ◎ ♪

Lango la

MBINGUNI

kwa Mataifa Yote

... Mahali hapa panatisha kama nini!
Bila shaka, hapa ni nyumba ya Mungu,
napa ndipo lengo la mbinguni.

Mwanzo 28:17 Karibu Sana

Neno la Mungu

Kusambaza Neno la Mungu kwa uwazi na uaminifu kwa kila taifa.

Soma Zaidi →
🙏

Maombi

Nyumba ya maombi kwa mataifa yote. Tumtumainie Mungu pamoja.

Soma Zaidi →
👥

Ushirika

Kujenga ushirika wa kikristo unaoleta upendo, umoja na huduma.

Soma Zaidi →

Huduma kwa Jamii

Kuwahudumia watu kwa upendo wa Kristo na kuwafikia waliopotea.

Soma Zaidi →
🌐

Mataifa

Kufikia, kuimarisha na kupeleka Injili kwa kila kabila na taifa.

Soma Zaidi →

Ufalme wa Mungu

Kuweka ufalme wa Mungu moyoni mwa watu na katika jamii.

Soma Zaidi →

Kuhusu GHC

Gate of Heaven Church For All Nations ni huduma ya Lango la Mbinguni kwa Mataifa Yote inayolenga kuhubiri Injili, kuombea watu, kujenga familia za kiroho na kufikia mataifa kwa upendo wa Kristo.

Ratiba ya Ibada

Jumapili: 04:00 Asubuhi - 07:00 Mchana

Jumatano: 10:00 Jioni - 12:00 Jioni

Jumamosi: Prophet kuonana/kuomba na mtu mmoja mmoja